Aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero aachiliwa kwa dhamana

Aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero aachiliwa kwa dhamana Aliyekuwa gavana wa nairobi Evans Kidero ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni nane au bondi ya shilingi milioni 20 katika kesi ya ufisadi inayomkabili na wenzake kumi na watano. Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its…